Maafisa wa hudama kwa wanyama pori
nchini wamekamata nyama yenye uzani wa kilo 200 inayokisiwa kuwa ya Nyati
katika soko la Burma jijini Nairobi.
Kwa mjibu wa maafisa hao,Nyama hiyo
inaaminika kutoka Naivasha eneo la Marula ambapo washukiwa watatu walikamatwa.
Watatu hao walikamatwa wakipakia
nyama katika gari eneo hilo baada ya maafisa hao kuwavizia kufuatia taarifa kutoka
kwa walinzi wa shamba hilo la Marula.
KWS kwa sasa imeorodhesha Naivasha
kama chanzo cha nyama ya wanyama wa mwitu inayouzwa katika soko la Burma
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.