Serikali imeondoa agizo la kuwataka
wanabiashara wote kusafirisha shehena zote za mizigo kutoka Mombasa kwa kutumia
reli ya kisasa SGR pekee.
Hatua hii inafuatia mkutano wa
pamoja baina ya washikadau katika sekata ya usafiri wa reli na maafisa wa serikali
ili kupeana muda wa majadiliano zaidi.
Awali bunge la taifa lilikuwa
limemwandikia waziri wa barabara na
miundo msingi james Macharia kufika mbele ya kamati ya usafiri bungeni humo
siku ya alhamisi kuangazia agizo hilo
Sheria hiyo
iliyotolewa wiki jana ilifaa kuanza kutekelezwa hii leo
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.