Gavana wa Kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago amelaumu
umma haswa wamiliki wa vyumba vya kibiashara kwa matukio ya maporomoko
ya vyumba akisema misingi ya vyumba hivyo hazichunguzwi.
Gavana
Mandago anasema jamii imekua mstari wa mbele kupinga serikali za Kaunti
na hata ya kitaifa wakati inapotekeleza wajibu wake wa kubomoa vyumba
ambavyo haviafikii viwango vya binadamu.
Gavana
huyo ameishauri jamii kukumbatia hatua za kuchunguzwa kwa makaazi yao
na idara ya upangaji kabla watu hawajaanza kukodisha vyumba hivyo
ambavyo sharti yawe na miundo uliothabiti.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.