Hii ni kufuatia ripoti za
wafanyibiashara gushi waliokuwa na nia ya kuuza kipande hicho cha ardhi.
Haya yamejiri baada ya usimamizi wa shamba la Kedong ambako bandari hiyo
inajengwa kuweka ilani kwenye ardhi hiyo na ambayo imeshika kaunti za Nakuru
na Narok ili isiuzwe.
Kulingana na naibu wa kamishna wa kaunti ndogo ya Naivasha Mbogo
Mathioya, ardhi itakayojengwa bandari hiyo sasa imetengwa huku ujenzi wa ua
ukiendelea.
Akizungumza na kituo hiki, Mathioya amesema Usimamizi wa kedong tayari
umetoa takriban ekari elfu nne zitakazogawiwa wale watakaoondolewa kwenye ardhi
itakayojengwa bandari hiyo na vile vile kujengewa shule na vifaa vingine.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.