MSHIRIKISHI WA USLAMA BONDE LA UFA GEORGE
NATEMBEYA AMEDOKEZA KUWA ASILIMIA KUBWA YA FAMILIA ZILIZOISHI MSITU WA MAU
ZIMEONDOKA HUKU AKIRAI WALOSALIA KUSALIMU AMRI.
AKIZUNGUMZA ALIPOZURU ENEO MAENEO YA SIERA
LEON, TOLTOL NA NKOBEN NATEMBEYA AMEDAI KUSUDI LA SERIKALI KUWAONDOA WAVAMIZI
WA MSITU WA MAU HAUTAKWAZWA WALA KUZIMWA NA YEYOTE HATA WANASIASA.
MSHIRIKISHI HUYO WA BONDE LA UFA ALIKUWA AMEANDAMANA
NA AFISA WA IDARA YA UHIFADHI MISITU KFS JOHN KITILI NA KAMISHNA WA NAROK GEORGE
NATEMBEYA. INATAZAMIWA KUWA KUHIFADHIWA UPYA KWA MSITUWA MAU KUTAIMARISHA VIWANGO
VYA MAJI KATIKA MITO YA MANUFAA KAMA
VILE MTO MARA NA HATIMAYE ZIWA VICTORIA.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.