Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

Mtangazaji Betty Kyallo hatimaye amenaswa roho na Ndume tena

Mtangazaji wa runinga ya K24  Betty Kyallo,amekuwa akificha sura ya mpenzi wake na mwishowe, alifunguka na kusema kuwa, atafichua sura ya mpenzi wake.
Mpenzi wake  alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na ndipo Betty akaamua kusherehekea siku hii kwa mtindo wa aina yake na kufichua sura.
Kupitia mtandao wa kijamii, Betty Kyallo aliandika ujumbe wa kumtakia heri njema ya siku yake ya kuzaliwa na kusema kuwa wakati sasa umefika wa kufichua sura yake.



Mpenzi wake Betty alikuwa kwenye kampuni ya k24 akibangaiza tu na wafanyikazi wengine kisha baadaye wakakata keki na kusherehekea vilivyo.
keki hii iliandikiwa mfalme wake Betty .
Kitambo kidogo, sura ya Jamaa huyu ilifichuliwa alipo hudhuria sherehe ya kuzaliwa mtaa wa kiza Lounge.

About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.