Shirika lisilo
la (UNESCO)
limegadhabishwa na uchache wa vijana wenye nia ya kuwa walimu humu nchini.
Kulingana
na
Monicah Rotich kutoka shirika hilo,idadi yavijana wanaojiunga na
taaluma ya uwalimu huenda ikapungua iwapo hawatelimishwa kuhusu
umuhimu wa taaluma hiyo.
Akiongea
katika shule ya walimu ya Tambach katika
eneo bunge la Keiyo Kaskazini , Rotich ameongeza kuwa wengi wa vijana
hawajajiunga na taaluma hiyo kwa sababu ya changamoto wanazopitia walimu humu
nchini.
Vile vile
ameomba serikali kuona kuwa maswala ya walimu imeangaziwa kama njia moja ya
kuhimarisha sekta ya elimu humu nchini. About KELVIN WILLIAMS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.